Mimi mtoto wa kwetu Mbagala...

Jamaa Diamond aka mtoto wa Mbagala kafulia kaamua kufanya shooting ya video bush wakati yeye ni wa "kileo"
 
Anaonekana ana miguu mizuri!:smile-big:
 
Jamaa Diamond aka mtoto wa Mbagala kafulia kaamua kufanya shooting ya video bush wakati yeye ni wa "kileo"

aaah jamani! Kufanya video bush ndio kufulia?
Nafikiri amezingatia ujumbe uliopo uendane na mazingira. Hata hivyo tumechoka kuwaona kwenye majumba ya kifahari, mikoko na suti za kuazima.
 
Sijaona TATIZO! Kama ni kweli, kuna kupanda na kushuka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…