Hili jina lako limenikumbusha kuna ndege mmoja maeneo ya uchagani huwa anatoa sauti ambayo wenyeji huitafsiri kama "ndekrefa" maana yake "nilikaribia kufa".
Nimejiunga ili niweze ku-comment na ku-quote kama wewe unavyofanya hapa. Nimejiunga ili kuwa karibu na habari na maarifa mbakli mbali zaidi. Labda naweza pata huo ujuzi na proffesion humu. Vipi mkuu wewew una proffesion gani ili unifundishe kwa shule bila ada angalau nami nipate ujuzi kidogo?
Hili jina lako limenikumbusha kuna ndege mmoja maeneo ya uchagani huwa anatoa sauti ambayo wenyeji huitafsiri kama "ndekrefa" maana yake "nilikaribia kufa".