zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
Mgeni alafu senior member
Am not that serious, nimechukulia kama masihara tu mkuu.Kumbe nia ni kupata mchumba.
Haya hili bango lihamie love connect
Wewe kweli mgeniAGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
Ni kweli kabisa.Wewe kweli mgeni
KaribuNi kweli kabisa.
Are you joking or you mean it?Kumbe Kuna wazigua wenye degree
Gracias mkuu!Karibu
Hahahahaha nimejoin humu tar 12 ya mwez huu bila shaka.Mgeni alafu senior member
Mtani ,jokeAre you joking or you mean it?
Ni kweli, ahsante sanaKaribu sana JamiiForums...
Ingawaje ulishaanza onekana jukwaani kabla ya kujitambulisha
Kisomo kwa hyo bachelor na zilivyojazana mitaani?, hata najuta kupoteza muda wanguHongera mkuu. Kwa kisomo.
Tafuta kwanza kazi, usije kufa mapema.Jinsia: Me
Mchumba: Awe mzuri, age kuanzia 24 abv, mcha mungu.
hahahaha