Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 108
- 265
ππKaribu sana,
Jisikie kama upo Nyumbani ila usifungue Friji.
Haujawahi kusema hataAsante sana mkuu ila mpaka nimesha sahau nilisema lini π€£
Jamanii Ndioo nn π€£Nyegeraaga!
π€£π€£Haujawahi kusema hata
Nimekusoma akili yako nikaona mawazo yako yanatakiwa kupata mtu wa kubadilishana nae π
kwenye friji lako kunaπKaribu sana,
Jisikie kama upo Nyumbani ila usifungue Friji.
Karibu sana EuniceHabari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo ππ
Karibu mgeni. Unaweza kunisindikiza mnadani?Habari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo ππ