Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nilidhani kileleni, usiku mwema
Hapa kwangu,kwani atapata huduma zote.
Hapa kwangu,kwani atapata huduma zote.
:coffee:
Umeona eeh! Hi kijana ina angaika bila mpangilio
unaniandama khaaah!
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?😕
Kwanini usiku hujakuja shimoni?
Nije shimoni,kwani mie panya?
kwenye kilele cha mafanikioAmefika wapi?
kwenye kilele cha mafanikio
karibu sana kwenye hii nyumba uwe na amani tele