Mimi huyu hapaaaaa

Mimi huyu hapaaaaa

hapo sasa ndio umeweka mambo sawa, huwezi kumwambia mtu atafute X, halafu akishakuonyesha mahali ilipo inakuaje?
Hahahah...nafahamu mtu wangu...kihisabati walipaswa waandike, "Find the value of X...."
 
Safi sana ana akili kuliko shule, ni mjuzi kuliko hata Idd Amin Dada, safi keep it up. Hana kosa, kama kuna mtu anadhani ana kosa naomba anifafanulie
Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako
 
Last edited by a moderator:
No, unajua kuna mtu kasema eti jamaa kakosea sana, ndio nikauliza kuwa kosa lake ni lipi? kama ni X si keshaionyesha?wenye kosa ni Mwalimu aliyetunga swali kama hilo
Elli jamaa hana kosa lolote, si kisha onyesha x, kama wewe ulidhani hato iona yeye kisha iona kabla yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom