Mimi huyu hapaaaaa

aiseeeee babayangu bujibuji nakuona kwa mbali sana unaweza kukuza picha nikuone vizuri
 
Mi naona majini tu, namuona Maimuna, Maruhani, Makata, Shariff na mapepo wachafu
 
JF kuna raha mwe! ningecheka saa ngapi? na lipi hasa lingenichekesha mieeeeee
weraaaaaaaaaaaaaaaaaa JF
 
hahahahahahahahahaaaaaaa Simple and clear, jibu sahihi kabisa.....hivi kwanini sikuwahi kujaza hivi

ungepewa bonge la X

...ila kiusahihi swali lilipaswa kusomeka, "Find the value of X".
 
Mpwa twende kwenye reality, kuna kosa gani kwa jibu lake? kiutalaamu huwa swali halitakiwi kuwa kama hivyo, kuitafuta tu kirenyeji hivyo ndio maana watoto wetu wanakosa kila siku
ungepewa bonge la X
 
Hahahah...nafahamu mtu wangu...kihisabati walipaswa waandike, "Find the value of X...."

Mpwa twende kwenye reality, kuna kosa gani kwa jibu lake? kiutalaamu huwa swali halitakiwi kuwa kama hivyo, kuitafuta tu kirenyeji hivyo ndio maana watoto wetu wanakosa kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…