Mimi chenye nataka niwe na watoto basi

Mimi chenye nataka niwe na watoto basi

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
524
Reaction score
1,007
Haya mambo ya kale eti ntaishi nawe mpaka kifo hamna,siewez na haya mahusiano ya siku hizi n magumu.mm nnatafuta mwanamke nimpg mimba, akinializia tuh hivi,mtoto akikuwa na mwanamke huyo namtema.nachukua mtoto huyo namlea.Natafut wa pili kwa njia hiyohiyo.
 
B68B47B7-B655-4E3C-A47C-45CF0E582C98.jpeg
 
Kataa ndoa okoa uchumi wako😃😃😃😂 picha ina tafakuri kubwa sana
 
Mawazo hayo ukiulizwa una utajiri wa sh ngapi....blabla zinakua nyingi mara kuna 1m bank
 
Back
Top Bottom