NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,918
Mtu ataibiwa mahaba hapa.Nawaza kiundaniš¤£Nakufundisha namna ya kucontrol hisia na mhemko yako from ubongo mpaka machšµna tu kama uonavyo uvipendavyo
Mtu ataibiwa mahaba hapa.Nawaza kiundaniš¤£Nakufundisha namna ya kucontrol hisia na mhemko yako from ubongo mpaka machšµna tu kama uonavyo uvipendavyo
š¤£š¤£š¤£Tulia wewe,mbona unaharibu mpangošMtu ataibiwa mahaba hapa.Nawaza kiundaniš¤£
Natamani ningepangwa mimi, Ni wivu tu na kijicho kimenipata.š¤£š¤£š¤£Tulia wewe,mbona unaharibu mpangoš
š¤£š¤£Huyu nataka nikutibie tu asijisikie vibaya akiona nyasiš„°Natamani ningepangwa mimi, Ni wivu tu na kijicho kimenipata.
Usijembadilishia aina ya nyasi lakini, mtibu tu kisokolojia.š¤£š¤£Huyu nataka nikutibie tu asijisikie vibaya akiona nyasiš„°
š¤£š¤£š¤£š¤£šš¤øUsijembadilishia aina ya nyasi lakini, mtibu tu kisokolojia.
Ushindi mwema.š¤£š¤£š¤£š¤£šš¤ø
SanteeUshindi mwema.
Ha ha ha haSantee
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤ Nini bhanaa š¤ØHa ha ha ha
Kuna watu maandishi yao tu yanatekenya sijui viuno vyao vikoje?š¤£š¤£š¤£š¤£š¤ Nini bhanaa š¤Ø
Atakuw LGBTQ huyuSijui hii hali inanipata Mimi peke yangu au hata watu wengine!!
Yaani nikiona Moss Plants (mimea midogo ya kijani) ambayo huota sehemu zenye maji maji huwa nakosa raha kabisa, na najiskia vibaya. Hali hii imenianza tangu niko shule ya msingi lakini hadi leo bado ninayo.
Yaani sehemu ikiwa na hizi Moss Plants naweza nisipite kabisa, ni bora nipite njia nyengine, siwezi hata kuziangalia au kuzipitia kwa karibu.
Sasa wiki iloyopita nimekuja Mbeya na kutokana na hali ya huku ya mvua nyingi, aise kila sehemu zipo... Dah napata shida kweli.
š¤£š¤£š¤£Utaelewa tu taratiibuuu
Fumbua macho wewe, Huoni au.
Kama haoni pindo la gagulo hata mchoro wa mstari ataujuaje sasa.š¤£š¤£š¤£Utaelewa tu taratiibuuu
Huko sasa kunikoseaš”Atakuw LGBTQ huyu
š¤£Mi kazi yangu Kila siku ni kuibadili mada kuwa maada afu YabisiKuna watu maandishi yao tu yanatekenya sijui viuno vyao vikoje?
šššš¤£š¤£š¤£Utaelewa tu taratiibuuu
Naona naonaFumbua macho wewe, Huoni au.