Mimba

Mimba

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Girl: Honey, there's something i want us to talk about. It's so serious!


Boy: please don't tell me you are pregnant!


Girl: Am coming to stay with you coz u know my mum will be mad at me and will not allow me to stay with her once she finds out am pregnant *sobs*!


Boy: Listen, I don't want to know. I always gave you the money to buy E-pills.


Girl: But it can happen by accident! *sobs*


Boy: Accident my foot! Listen and listen well eh! I don't want to see your face in this house. Let me not see you come here!


Girl: OMG! So that's how heartless you are huh? Thank God am not pregnant!


Boy: baby you know...


Girl: Shut up! And as u said you will never see my face in your house!


Boy: am sorry...


Girl: *sobs* sorry my foot!
The girl updates her status " single and ready to mingle"

Blessed General
 
Mapenzi ya watoto hayo...wengine kwetu mimba ikitokea ni baraka
 
Mimba inatisha lakini...
labda uwe umejipanga

Yaani huyo dada angekuwa karibu yangu ningemdondoshea dola kumi cash kwa jinsi alivomsoma akili mjamaa kama yuko serious in case accident ikitokea looh bora alivochukua chake mapema.
Ila Boflo kama haya ni mawazo yako wewe utakuwa mdada....................
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi wazo la kwanza linalomuingia mwanaume once mzinifu mwenza akimpa habari za mimba ni responsibilities attached.. Ghafla anaona mlima mkubwa mbele yake ambao uko so steep..! na hicho ndicho kinawafanya wengi waruke kimanga kwanza Boflo..

Stupid question siku zote once ukishapewa hiyo habari.. "Mimba ya nani hiyo"..! ha ha ha..
 
Last edited by a moderator:
Ni ya kitoto ila hata wakubwa wanaodate ni dhahirI wapo walioachwa kwa kupata mimba na mifano 2nayo mnajua ndg.. kawakumbusha wengi kiukweli..
 
Ni njia nzuri ya kuweza kufanya justification ya mapenzi kama ni ya kweli ama ni kupeana raha tu na kupita, safi sana vijana wa kike mliokwenye mahusiano yenye mashaka mashaka mnaweza tumia hii njia ya mkuu Boflo kutest reliability za mahusiano yenu kuliko kuendelea kupotezeana muda.
 
Last edited by a moderator:
Kajisingizia ili ampime

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
++
Kuna watu wanatamani kuitwa baba hata kama wa kusingiziwa.
Thanks Boflo natamani wanaume wa aina hiyo wangejua thamani ya mtoto
++
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom