Usiogope Mwanaume hizo ni changamoto zitaisha tu muhimu sikiliza ushauri muhimu na sahihi kutoka kwa wataalamu atapona, onana na mtaalamu wa masuala ya Afya ya Uzazi atakusaidia vizuri humu wengi watakulea mbalanga tu au mcheck Dr Luu akupe muongozo zaidiNimeogopa
Unakifua kaka?Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika
Yani hii ya pili sasa inaharibika
N:B ipo hivi mimba anashika ikifika miezi miwil anatokwa na damu tu
Conclusion:
Msaada wa maswala ya uzazi jaman nifanyeje ...
Mmmh hayo maji ya mito 7 sasa anayapataje si mtihani mgumu,na huko kutwanga njia panda si mtihani mwingine piaPole sana, hii ungeiweka kule jukwaa la Afya halafu uitolee maelezo vizuri Madaktari wa JF wakupe muongozo ila kwa haraka haraka hilo suala linahitaji mtaalamu wa masuala ya Afya ya uzazi apewe maelezo vizuri aone nini tatizo na namna gani anaweza kumsaidia mgonjwa,
Ukirudi upande wetu huu wa mitishamba, utamaduni na mila zetu utaambiwa wahi mizizi na majani ya mti wa mbaazi chukua majani 7 ya mbaazi, chukua majani 7 ya mmea wa kisamvu, maji ya mito 7 inayoingia baharini au maji ya visima 7, changanyia na majani ya mvumbasi, twaanga kwenye kinu usiku wa maanane kwenye njia panda kinu kisikike mpaka mtaa wa 7, chemsha changanya pamoja mpe anywe sio mtaalamu ila nimesema wanavyosemaga atapona
Dogoli kinyamkela ataelezea mwenyewe mnafanyaje hapo huko kwenu kwa Wandengereko
Blighted ovum due to chromosomal abnomalityMimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika
Yani hii ya pili sasa inaharibika
N:B ipo hivi mimba anashika ikifika miezi miwil anatokwa na damu tu
Conclusion:
Msaada wa maswala ya uzazi jaman nifanyeje ...
1 month tokea mwanamke ajifungue anashika mimba?Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.