Hii imetokea baada ya bnt kujikuta anaujauzito mchanga wa wiki mbili ilihal ana miez miwili hajapata hedhi.
Naomba kupata uzoefu je hii hal inawezekana!!? Kama inawezekana je n nn kmetokea maana weng tunaamin mwanamke anapopata hedh ndipo tunaanza kuhesab sku zake za mzunguko wa yai had kufikia siku za upatikanaj wa mimba.
Post sent using JamiiForums mobile app