Sasa kwa huyu binti ni mimba ya kwanza
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,
Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,
Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,
Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,
Shukurani
Tunahofia hilo mkuuMkuu hio haijalishi kwa sababu mke wangu amejifungua hii ni mara ya tatu.
Wa kwanza alijifungua week ya 40 wa pili akajifungua week ya 36 na huyu wa tatu ndio hiyo week ya 43.
Au mnahisi huyo mtoto atakuwa sio wa kijana wenu?
Mimi nadhani kama binti angezaa kabla mimba haijatimia miezi 9 ndo mlipaswa muwe na mashaka huenda mimba ni ya mtu mwingine.Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,
Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,
Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,
Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,
Shukurani
Sasa si wamewaona mnataka kukwepa majukumu!Tayari ameshapewa jina bila kuhusishwa sisi
Wataalamu wa afya tafadhali kama kuna njia mbadala ya kujiridhisha, pasipo DNASasa si wamewaona mnataka kukwepa majukumu!
Halafu mwambie dogo ajifunze matumizi ya kondomu, ipo siku atamtia mimba mwanafunzi hatimae itakuwa ni miaka 30 jela
hivi unahangaika nini? S umeambiwa ni swala la kawaida na hua inatokea? Kama mnataka kumtelekeza binti wa watu mwacheni kuliko kutafta sababu hazina maana mimba kufikisha huo muda ni swala la kawaida na lipo si kua ndio limeanzia kwake hakuna njia nyengine zaidi ya DNAWataalamu wa afya tafadhali kama kuna njia mbadala ya kujiridhisha, pasipo DNA