Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,509
- 7,263
well said mkuu.Huyu ni wewe huyu!!!
Inaonekana jamaa anampenda sana huyo mwanamke.
Mm nahic huyo binti kamaliza 4m4 mwaka jana halafu akafeli.
Mwanamke mjanja ingepita km wiki 3 hiv akamwambia jamaa.
Hawa wanawake ni hatari sana. Unaweza kulea watoto kumbe siyo wako

