A Adjussi Member May 25, 2014 39 15 Dec 20, 2015 #1 Wakuu, Kwa anayefahamu, hivi inawezekana mimba kuharibika halafu kusafishwa na mimba ikaendelea kuwepo? Asanteni.
Wakuu, Kwa anayefahamu, hivi inawezekana mimba kuharibika halafu kusafishwa na mimba ikaendelea kuwepo? Asanteni.
M mwasu JF-Expert Member Jul 13, 2011 10,161 11,534 Dec 22, 2015 #2 Aisee,! sehemu ya ajabu, alisafishwa uso?
mkabasia JF-Expert Member Mar 11, 2014 2,939 2,598 Dec 22, 2015 #3 Umshasema imeharibika , inamana kiumbe hakitakuwepo tena labda kama sijakuelewa.
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member May 19, 2014 1,098 406 Dec 22, 2015 #4 Km alisafishwa hakuna mimba tena