Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?



Basi hongera kwa kutokuwa careful.
 
Ni kweli hii mkuu???....Naona watakufa wote et
 
Munawar unazini mwezi mtukufu wa ramadhani????????
 
Napenda kukushauri kuwa usiitoe hiyo mimba kwani kama ww ungetolewa leo tusinge soma hata uzi wako.
Licha ya hilo ni dhambi kubwa sana kutoa mimba ni sawa na kuuwa sasa kama unamwogopa MUNGU usitoe.
 
Naombeni ushauri wenu wakuu, nifanyaje mapema kabla mambo hayajawa magumu huko mbele.?

Kama ni mambo kuwa magumu kwa mtazamo wako, basi ujue kuwa tayari ni magumu kwani uhai ukifanyika hakuna cha mbele wala nini bali ni uhai tu. Ukifahamu maana ya gene au genome basi itakuwa rahisi kwako kuelewa uhai ni mara tu fusion inapofanyika kwani formation ya kiumbe tayari imeshakamilika.
 
Napenda kukushauri kuwa usiitoe hiyo mimba kwani kama ww ungetolewa leo tusinge soma hata uzi wako.
Licha ya hilo ni dhambi kubwa sana kutoa mimba ni sawa na kuuwa sasa kama unamwogopa MUNGU usitoe.

Kwa kuweka sawa ni kuwa kutoa mimba ni kuua kwa sababu kuua ni kusitisha uhai bila kujali mazingira yake.
 
sio vizuri
 
Rafikii kindly utashiriki hii dhambi mpaka utakapokufa maana internet inaweka kumbukumbuku vizazi na vizazi,, hii coment wataitumia wengi mpaka vitukuu wako na hii dhambi haitakuacha
NB: ukiona inafaa futa coment yako,,
 
Hiyo dawa ina majina mengi, inaitwa p2, Plan B, The Morning after pill n.k

Kazi ya hii dawa ni kukausha ule ute ili yai lisiende kupokea mbegu na kuua mbegu zote ambazo zipo ndani ya uke kwa masaa 72.

Mkuu, kuna Plan B mpya ambazo zinafanya kazi ndani ya siku 5. Nenda ktk pharmacy kubwa kubwa utazipata japo bei yake sijajua.


Siku nyingine ikikutokea ziwahi hizo p2/plan b la sivyo nunua vidonge vya fragly kama vinne mpe ameze, kama vidonge vipo mbali mpe maji ya baridi saaaana anywe walau lita mbili na pia ajisafishie maji ya baridi ktk uke.

Maji ya baridi yanaua mbegu za kiume, mbegu za kiume zinakaa kwa mda mrefu na kujirutubisha endapo kukawa kuna joto.
 
Mimi nashauri kwa kweli aache kwanza baada ya wiki mbili kisha ndo atumie hiyo doz unayosema.

Mleta Mada usitumie Mistroprostol endapo kukawa na uhakika wa 100% kuwa hakuna mimba.
 
Mkuu, embu weka hapa mzunguko wake ili tuweze kukusaidia.
 
Hujampima kuhakikisha lakini una guess. Sio kila siku ya hatari ni ya kushika mimba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…