"Mimba hiyo siitambui"

mwanamke anaenyonyesha huwa hapati siku zake
kwaiyo kwa vile hapati siku zake akaona ni kawaida kumbe kuna jingine
hyo mimba ni yake tena amuombe mungu amsamehe elimu ya biologioa ni muhimu jamani msikurupuke
Nilikuwa silijui hilo..
 
Huyo ndugu yako awe mwanaume uvulana umuishe, kitanda hakizai haramu.
 
maelezo yanaonesha hiyo mimba ni ya muhusika. Ina maana hata shule ya msingi mlikuwa amsikilizi kile kipindi wanafunzi wanakipenda hao cha "AFYA YA UZAZI".
 

Umesema eti ndani ya mwezi mmoja mtu hawezi kujua kama ana mimba? Kama ni hivo Ngoja nilianzishe nirudishiwe hela zangu haraka sana.
 
Umesema eti ndani ya mwezi mmoja mtu hawezi kujua kama ana mimba? Kama ni hivo Ngoja nilianzishe nirudishiwe hela zangu haraka sana.
kwqa situation ya hyo mama kwamba ananyonyesha na kwamba alikuwa haoni siku zake kwa ajili ya kunyonyesha ingekuwa ngumu kugundua kama ana mimba kama hakupata shida ingiune yoyote kumbuka kipimo rahisi kwa mwanamke ni kutokuona siku zake.sasa hapo angejuaje
 
Kwanza nadhani jamaa asubiri mtoto akizaliwa aende akachukuwe DNA kwasababu kuna siku nilikuwa naangalia show mmoja. Kuna mdada alikuwa amekaa na wazee wake akajisikia kuumwa sana wazee wake wakampeleka hospital. Wote hawakujua tatizo mpaka doctor alisema akapigwe x-ray akidhania huyo mgonjwa ana vidonda vya tumbo. Kufika chumba cha x-ray kuna mdada akasema huyu mgonjwa mbona ana dalili za uja uzito? Mgonjwa mwenyewe akabisha na wazazi wake pia. Wote wakakubaliana apewe vipimo vya mimba kabla ya kupigwa hio x-ray. Majibu yalikuja mdada ana mimba ya miezi saba na kweli baada ya miezi miwili alijifungua mtoto. Kwahio mwambie huyo rafiki yako asikatae kwanza mpaka apime DNA. Hata mimi sitaki niwe kwenye kundi la 49% lakini sitokataa kama hivyo.
 
Napita...!sina utaalamu wa sayansi ya uzazi wala biology.
 

Anaejua Baba wa Mtoto ni Mama Ndugu, inaonyesha kwamba kabla ya kusafiri hiyo miezi alikuwa kwake na kama Mkewe alipata Ujauzito huenda alisubiri Jamaa atoke safarini amwambie, kwa kuona muda unakwenda imembidi ampigie simu katika maongezi yao, Sasa kama kakuomba ushauri Mwambie arudi nyumbani kwanza badala ya kufoka na kukana hawa Watu wa kusafirisafiri wanajua kupanda Mbegu tu ila kasheshe mmea ukichipuka..maelezo mareefu
 
Kuna watu wana mimba bila kujijua kama Ana mimba kutokana na kutokuwa na mabadiliko mwilini mwao. Mwambia rafiki yako kabla hajakataa ni bora akae chini na kutafakari . Kama Anayo mashaka asubiri mtoto azaliwe achukue DNA ila kwa sasa aendelee kufanya majukumu yake kama mume
 
Utafiti, 50% ya watoto ni wakusingiziwa. Tuvumilie tu wanaume wenzangu
 
bro aache ukali, mbona kazi rahisi tu , leo sio 1970 ni 2016 kuna DNA TEST,amwambie mkewe hilo alielewe na huenda jibu litapatikana kabla hata ya kujifungua kwa hofu itakayomkumba huyo mkewe kama mimba si ya huyo jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…