pesa ilisababisha sugu na ruge wapatane..... ROMA 2013
Nauchukia sana huu mstari.
Nauchukia sana huu mstari.
huo mstari ndio utaompoteza Roma kwenye muziki mazima.historia inazungumza ivyo.
Kumbuka nyimbo kama 'piga manati' ya Gk, 'mimi' ya Oten, 'ndoa haina doa' ya Inspekta, 'manuva' Joh Makini, 'wamechokoza' ya Ney wa Mitego na nyingine kama izo..nyimbo za mtindo huu huwa zinatokea kuwa gumzo sana kwa muda mfupi lakini zinapopotea huwa zinaondoka na msanii husika..huu ndio mwisho wa Roma,wapenzi wake wanaweza wasiamini ili lakini kuna siku mtaikumbuka hii post.
[h=3]Mh Sugu anatisha
MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B[/h]
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel Izzo B Simwinga.
Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.
ROMA hakuna kitu, ni mtu wa kuropoka na anachosha masikio...mtu atashangaa kwa nini naona roma hana uwezo, na naweza sema sio msanii sababu anavyosema hata kama sio msanii mtu yeyote anaweza kuongea..saa zingine naona Tanzania hakuna wasanii wanaoweza kuleta mawazo katika namna iliyosanifiwa...nadhani ROMA ajipange upya awasikilize akina Jay Z, akina PAC, akina NAS anaweza akaokota kitu.. Pia amsikilize prof Jay au Fid Q

huo mstari unamcost sana huyu kijana, naona tuzo y kilimanjaro ilimvuruga ufahamu kabisa!huo mstari ndio utaompoteza Roma kwenye muziki mazima.historia inazungumza ivyo.