nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Leo nilichelewa kidooogo Kutune Amplifire Clouds Fm ila Nmekuta Baba ashibae Musa hussain Yupo Kwa Kiti cha Millard ni Poa sana ila Kulikon jaman mbona kumepoooza flan iv....
Yupooo huku chugaaaa
Sijui ndo amekujaa kufanyaa coverage ya babu jumamosiii
Millardayo ndo nani kwani
Sikiliza e FM. Muda huo. Hutojutia maamuzi yako
Kuna tetesi kuwa yupo kwenye majaribio VOA!!