Kwa sheria za bongo kumiliki sub muchine gun hairuhusiwi but tunaruhusiwia kumiliki lite gun kama rifle etal ...sijajua
sikujua hilo na kwa nini hasaKwa sheria za bongo kumiliki sub muchine gun hairuhusiwi but tunaruhusiwia kumiliki lite gun kama rifle etal ...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sh milioni 5Ivi AK 47 shilingi ngapi?
Dadekiii hii sio poa kabisaView attachment 2091066
Jobaria Defense Systems (JDS) Multiple Cradle Launcher (MCL) a.k.a "Jehanum Launcher"
Kifaa cha kurusha makombora kinachomilikiwa na umoja wa falme za kiarabu (united arab emirate, U.A.E).
Linauwezo wa kubeba makombora 240 kwa wakati mmoja.
Linarusha makombora mawili kwa kila sekunde moja (maana yake ndani ya itarusha makombora yote 240 ndani ya dakika 2 tu).