Milipuko ya gongolamboto intelijensia ya ccm inahusika

MwanzoMwisho

Member
Aug 11, 2009
34
0
...iko wapi intelijensia ya ccm iliyoshindwa kubaini hatari hii mapema na kuchukua hatua za haraka kwa wananchi wa maeneo husika? Au intelijensia hii ni mahususi kwa siasa za vyama pinzani tu vinavyopinga utawala mbovu na dhalimu wa ccm kama ilivyotokea arusha?
 
Back
Top Bottom