Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Uko sehemu gan! mkuu
Niko kwa mtogole hapa jirani na Kanisa Katoliki
Uko sehemu gan! mkuu
Niko kwa mtogole hapa jirani na Kanisa Katoliki
Ni hammer inapita.
Unatuomba tutulie wewe nani IGP?Jamani Wahindi wanaweza ua mtu kwa Mshituko... Ghafla nimesikia Milipuko mikubwa na kunipa khofu na nilidhani ni Mabomu ya Mabagala tena ila Nimekumbuka Ni Sikukuu ya Baniani Diwali hulipua fataki na baruti usiku...
Naomba watakao isikia watulie... ni kawaida kila Mwaka Diwali niSikukuu ya Kutimiza Mwaka kwa Kalenda ya wahindu na Baniani
Unatuomba tutulie wewe nani IGP?
Jamani Wahindi wanaweza ua mtu kwa Mshituko... Ghafla nimesikia Milipuko mikubwa na kunipa khofu na nilidhani ni Mabomu ya Mabagala tena ila Nimekumbuka Ni Sikukuu ya Baniani Diwali hulipua fataki na baruti usiku...
Naomba watakao isikia watulie... ni kawaida kila Mwaka Diwali niSikukuu ya Kutimiza Mwaka kwa Kalenda ya wahindu na Baniani