Milipuko mingine ya moto yatokea usiku huu huko Tehran

Milipuko mingine ya moto yatokea usiku huu huko Tehran

Huenda Iran imezungukwa na kuzidiwa kitekinolojia. Yumkini kuna vitu ambavyo vimo ndani ya Iran, wataalam wa tekinolojia waliopo ya Iran, wanavitumia kuiangamiza Iran. Hapo ni kama jambazi anakuua kwa kutumia mkuki wako mwenyewe.

Maisha ya uhasama kamwe hayawezi kukupa amani hata uwe na uwezo mkubwa wa namna gani
 
Wewe ndo unakuwa wa kwanza kupata habari za mambo ya Iran???
Una faidika nini??
Tuwe wakweli tu. Unaonaje tukio kama hili lingetokea nchini Marekani halafu ikaripotiwa humu ni kwa kiasi gani ungemsifia mleta mada.
 
wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto unaendelea kuteketeza maeneo humo mjini.

“My take” Hizi ni MAUA za rasha-rasha mvua za Masiaka bado!!!
View attachment 3318239
View attachment 3318240

View: https://x.com/israelnewspulse/status/1916618085257163106

View: https://x.com/WW3_Monitor/status/1916613117494124728
 
Kwaiyo ISRAEL ndio imefikia Level ya kuwa MAGAIDI mbele ya IRAN
wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto unaendelea kuteketeza maeneo humo mjini.

“My take” Hizi ni MAUA za rasha-rasha mvua za Masiaka bado!!!
View attachment 3318239
View attachment 3318240
Kwaiyo ISRAELI imefikia Level ya kuwa MAGAIDI mbele ya Iran kwali ili taifa teule la mchongo imefikia kung,ata Badala ya kurusha ngumu kwa manaume mwenzie!!!!! Aibu kubwa kwa Jehova na walokole wa kibosho
 
Na mpaka mtaita maji ma..... Mkumbuke pia Marekani ameshasogeza madude fulani kule baharini, jifanyeni kama mnajikuna, si huwa mnasema hamuogopi kufa kwamba kule kuna mabikira...
Tumejua ni marekani na sio mtu mwingine,ni vita vya wamarekani.
 
wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto unaendelea kuteketeza maeneo humo mjini.

“My take” Hizi ni MAUA za rasha-rasha mvua za Masiaka bado!!!
View attachment 3318239
View attachment 3318240
Labda wanasafisha mji kwa kuchomwa takataka.
 
Tuwe wakweli tu. Unaonaje tukio kama hili lingetokea nchini Marekani halafu ikaripotiwa humu ni kwa kiasi gani ungemsifia mleta mada.
Wewe mfatilie mtoa mada huwa anapost mada gani daily???
 
Mtoa Mada ni Gaid kama Magaid wa Taifa teule !!!!

ukiona mbinu za kigaid ndio zinatumika ili asijulikane kama niyeye !!!!

tunaitaje iyo kwanza waoga wanawaogopa Wairan !!!!

Iran anakuchapa kweupe sasa ww unavidhia upige na unakaa Kimyaa huu ni Uwoga na ni UGAID 100% !!!

Taifa teule kwishaaaaaa sasa nani anamashaka tena kuwa Israel ni Magaid!!!!
 
Back
Top Bottom