They do not care as long as they have police and jeshiChadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania wote kuwa hiki chama kisichukuliwe kama ni kikundi flani cha wahuni kama tulivyoaminishwa na tukaamini
Mie sio mwanachama wala mfuasi wa chama hiki lakini nikiri tu kuwa hiki chama kina watu
Wito wangu kwa serikali na chama tawala tafuteni maridhiano na chama hiki kwakuwa kimebeba watanzania mamilion kadhaa wa kadhaa kudhani kwamba inawezekana kukibinya kijifie kama ilivyokufa CUF ni kujidanganya.
And thatβs given with great love!Watu wanachangia hata 200!
Watu si wajinga, wanajua kuwa chadema inakandamizwa na kusingiziwa maovu mengi na sasa wamechoka na ccmImewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Wacha washupaze shingo.Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania wote kuwa hiki chama kisichukuliwe kama ni kikundi flani cha wahuni kama tulivyoaminishwa na tukaamini
Mie sio mwanachama wala mfuasi wa chama hiki lakini nikiri tu kuwa hiki chama kina watu
Wito wangu kwa serikali na chama tawala tafuteni maridhiano na chama hiki kwakuwa kimebeba watanzania mamilion kadhaa wa kadhaa kudhani kwamba inawezekana kukibinya kijifie kama ilivyokufa CUF ni kujidanganya.
Gentleman,Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania wote kuwa hiki chama kisichukuliwe kama ni kikundi flani cha wahuni kama tulivyoaminishwa na tukaamini
Mie sio mwanachama wala mfuasi wa chama hiki lakini nikiri tu kuwa hiki chama kina watu
Wito wangu kwa serikali na chama tawala tafuteni maridhiano na chama hiki kwakuwa kimebeba watanzania mamilion kadhaa wa kadhaa kudhani kwamba inawezekana kukibinya kijifie kama ilivyokufa CUF ni kujidanganya.
Acha porojoChakula cha heche na mahawara zake, nyumbu endeleeni kuchanga tupate kula!!
hakuna gsm wala wakwepa kodi haposiku sita 100mπ π π kidumu chama cha mapinduzi!
mmekosa hata wanachama na wapenzi laki moja wenye kutoa buku buku π π πhakuna gsm wala wakwepa kodi hapo
mwaka huu anamalizia lile pagale lakeChakula cha heche na mahawara zake, nyumbu endeleeni kuchanga tupate kula!!