Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Wakati naperuzi kwenye mitandao nimekutana na habari ya Lwitiko Adamson Mwakasala ‘Tiko’ (Tajiri mtoto kukamatwa). Katika rada zangu za watoto wa mjini wanaokula bata sijapata kumsikia huyu mtu. Labda atakuwa milionea wa Arusha.
Polisi walimvamia na kumfanyia upekuzi, pia wameondoka na baadhi ya magari yake ya kifahari. Wameshikilia baadhi ya nyumba zake.
Milionea mtoto akiwa katika pozi
Moja ya nyumba yake
Ghorofa lake likiwa katika ujenzi
Baadhi ya magari yake yakiwa kituo cha polisi
Kwa wale wanaomjua mnaweza kushare nasi.