Miliki kiwanja leo dar es laam

Miliki kiwanja leo dar es laam

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Kuna maeneo mazuri sana kwa makaazi,shule,mashamba,ufugaji,chuo zinauzwa yapo ilala Msongola ...wahi kuchukua ya kwako kipimo ni kuanzia 40ft kwa 50ft bei ni 2.5 milion unaweza kununua tani yako...ni mashamba ya wenyeji ambayo wanauza kwa watz wenzao wahi 0717 757021.

Angalizo.Commission ipo kwa atakaye leta tajiri.
 
msongola hiko wapi mkuu,katika wilaya ya ilala,umeme upo
 
unapita mbagala-mbande then msongola. kumbe iko ilala i thought ni tmk. kuna wakurya wanafuga kuku balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom