Miliki plots / kiwanja Dar es salaam

Miliki plots / kiwanja Dar es salaam

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
"Maliza mwaka vizuri kwa kumiliki plot/kiwanja Dar es salaam."

Mahali zilipo plots/kiwanja/shamba

Plots/viwanja: Msongola Ilala na Kimbiji,Chamazi Temeke

Mashamba: Mkuranga mkoa wa pwani(Mashamba yako karibu sana na mpaka wa DSM na Mkuranga

Bei ni maelewano

Conatact: 0717 28 83 06 (Ogiro - dalali)
 
Bwana Ogiro nimejaribu sana kufwatilia matangazo yako yanafanana kila siku japo unabadilisha kichwa cha habari tuuu. na yamekuwa mengi sana najiuliza huyu jmaaa anaviwanja vingapi hama kashadalalia vingapi tuyaache hayo. nisaidie kitu kimoja, jibu maswali haya nadhani itakusaidua sana kupata wateja. We dalali una ofisi maalumu? 2.baadhi ya mashamba na viwanja unavyoviuza umeshaviona wewe mwenyewe? 3. ukubwa wa mashamba na viwanja unauijua? 3.bei elekezi ya kila shamba na viwanja unavyovidalalia unavijua?. bei maalewano bado ni kizungumkuti nashukuru Bwana Ogiro
 
Nipe bei na ukubwa umbali kutoka barabara wa kiwanja CHAMAZI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom