Miliki gari kupitia sisi kwa nusu bei

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,136
8,658
Habar,

Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu

Miliki gari yako kupitia sisi kwa njia zetu mbili kwa mkopo wa 50% tu na kulipia nyingine kidogo kidogo ndani ya mwaka mzimaaa

HATUA YA KWANZA
Utalipia 50% ya gharama ya gari
utatoa bank statement ya miezi 6
utaleta barua ya utambulisho wa kazini
pamoja na barua ya utambulisho mtaa

NJIA YA PILI
Utakuja kagua gari kwetu
then tutakuunganisha na microfinance
yenye bei nafuu mno ambao watakulipia hela yote then utakuwa unalipia kidogo kidogo pia ndani ya mwaka mzima baada ya kulipia hyo 50% pia

bila kusahau tunazogari aina zote used Tanzania zilizo kwenye hali nzuri na gharama nafuu namba
0623953036 calls/whatsapp
 
toyota ipsum
engine 2300cc
mwaka 2005
bei 7.3m

kwa mahitaji ya kuuza na kununua gari yako tafadhali wasiliana nasi kupitia
0623953036 calls/whatsapp
IMG-20221228-WA0066.jpg
IMG-20221228-WA0068.jpg
IMG-20221228-WA0070.jpg
 
toyota pro box
engine 1290cc
mwaka 2005
bei 10m

kwa mahitaji ya kuuza na kununua gari yako tafadhali wasiliana nasi kupitia
0623953036 calls/whatsapp
IMG-20221228-WA0044.jpg
IMG-20221228-WA0047.jpg
IMG-20221228-WA0037.jpg
IMG-20221228-WA0035.jpg
 
Habar,
Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu

miliki gari yako kupitia sisi kwa njia zetu mbili kwa mkopo wa 50% tu na kulipia nyingine kidogo kidogo ndani ya mwaka mzimaaa

HATUA YA KWANZA
Utalipia 50% ya gharama ya gari
utatoa bank statement ya miezi 6
utaleta barua ya utambulisho wa kazini
pamoja na barua ya utambulisho mtaa

NJIA YA PILI
Utakuja kagua gari kwetu
then tutakuunganisha na microfinance
yenye bei nafuu mno ambao watakulipia hela yote then utakuwa unalipia kidogo kidogo pia ndani ya mwaka mzima baada ya kulipia hyo 50% pia

bila kusahau tunazogari aina zote used Tanzania zilizo kwenye hali nzuri na gharama nafuu namba
0623953036 calls/whatsapp
Lengo lenu ni kufilisi watu micro finance au credit service za nchi hi ni zaidi ya wizi, Mungu atunusuru riba, haina uhai wowote katika maendeleo ya binaadamu
 
Habar,
Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu

miliki gari yako kupitia sisi kwa njia zetu mbili kwa mkopo wa 50% tu na kulipia nyingine kidogo kidogo ndani ya mwaka mzimaaa

HATUA YA KWANZA
Utalipia 50% ya gharama ya gari
utatoa bank statement ya miezi 6
utaleta barua ya utambulisho wa kazini
pamoja na barua ya utambulisho mtaa

NJIA YA PILI
Utakuja kagua gari kwetu
then tutakuunganisha na microfinance
yenye bei nafuu mno ambao watakulipia hela yote then utakuwa unalipia kidogo kidogo pia ndani ya mwaka mzima baada ya kulipia hyo 50% pia

bila kusahau tunazogari aina zote used Tanzania zilizo kwenye hali nzuri na gharama nafuu namba
0623953036 calls/whatsapp

Hii msijaribu wadau, mtaumia sana, ngojeni mnunue magari kwa nafasi.

1. Bei ya gari itapaishwa.
2. Mtapigwa Microfinance na kwenye gari.

Kwa nini mtu asingoje akawa na uwezo wa kunjnja gari?
 
Je nikiagiza gari kwenu mnanipa importation documents zote au kuna makaratasi muhimu mengi mtayanyifoa, yakiwemo yale yanayoonyesha class ya gari ikiwa mnadani
kila document unayotaka utapewa hata ukisema ije na mchanga wa ulaya sie tutakujazia kwenye buti utaukuta wewe tu tunakuagizia kulingana na specification's zako
karibu
 
Hii msijaribu wadau, mtaumia sana, ngojeni mnunue magari kwa nafasi.

1. Bei ya gari itapaishwa.
2. Mtapigwa Microfinance na kwenye gari.

Kwa nini mtu asingoje akawa na uwezo wa kunjnja gari?
hapo kuna option 2 boss wangu tumkopeshe ofisi kama ofisi au apitie microfinance na hawazi chukua tu gari/kununulishwa pasipokujua inatakiwa alipie shilingi ngapi hivyo usitishe watu kwa jambo ambalo huna uzoefu nalo
 
Habar,
Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu

miliki gari yako kupitia sisi kwa njia zetu mbili kwa mkopo wa 50% tu na kulipia nyingine kidogo kidogo ndani ya mwaka mzimaaa

HATUA YA KWANZA
Utalipia 50% ya gharama ya gari
utatoa bank statement ya miezi 6
utaleta barua ya utambulisho wa kazini
pamoja na barua ya utambulisho mtaa

NJIA YA PILI
Utakuja kagua gari kwetu
then tutakuunganisha na microfinance
yenye bei nafuu mno ambao watakulipia hela yote then utakuwa unalipia kidogo kidogo pia ndani ya mwaka mzima baada ya kulipia hyo 50% pia

bila kusahau tunazogari aina zote used Tanzania zilizo kwenye hali nzuri na gharama nafuu namba
0623953036 calls/whatsapp
Dhamana ikiwa ninini!!?
 
Gari zinazozungumziwa ni hizi used bongo au nalipia 50% ndiyo mnaagiza Jp?

Toyota Hiace Diesel, Auto transmission naipata kwa bei gani?

Zile za 2000,2001.
 
used za japan ndo kwa njia ya mkopo ila used tanzania unalipia kwa cash

hiace za diesel kwa sasa tumemaliza zimebakia za petrol 3rz
 
Tuchukulie nimechagua gari ya Millioni 17tsh/= na vigezo vinanitosheleza kupata huduma hiyo! Nalipa 8.5m cash kisha hiyo nyingine wana cover hao microfinance 8.5m sasa kuanzia hapa ndio nataka kujua nitakutana na nini!!?
 
hapo kuna option 2 boss wangu tumkopeshe ofisi kama ofisi au apitie microfinance na hawazi chukua tu gari/kununulishwa pasipokujua inatakiwa alipie shilingi ngapi hivyo usitishe watu kwa jambo ambalo huna uzoefu nalo

Mi nawatahadharisha tu wadau, hizi tamaa zimewaacha watu na matatizo sanq
 
Tuchukulie nimechagua gari ya Millioni 17tsh/= na vigezo vinanitosheleza kupata huduma hiyo! Nalipa 8.5m cash kisha hiyo nyingine wana cover hao microfinance 8.5m sasa kuanzia hapa ndio nataka kujua nitakutana na nini!!?
mfano kama ukilipia hyo 8.5m the rest utakuwa unailipia riba ya 3% kwa kila mwezi kwa mwaka mzima rates zao kwa microfinance ni last in first out(lifo)

kwaiyo riba siyo kubwa hivyo usiogope hapa nlikuwa namtafuta mtu wa microfinance anieleze vzuri hope nikimpata ntakuelezea vizur zaid maana toka tuanze kuuza haijatokeaga mtu aliyeshindwa kulipia
karibu
 
Back
Top Bottom