Milango ya Mninga na Mkongo

Milango ya Mninga na Mkongo

Naamini mhitaji anaweza anaweza kunipm. Asanteni kwa ushauri nitaweka picha
 
Naamini mhitaji anaweza anaweza kunipm. Asanteni kwa ushauri nitaweka picha

Kukupm kitu gani we kimaus,weka picha,size,na bei mambo ya kupm bdae kwny malipo mtu akisharidhika akataka kununua,ebu kuwa profesinal kdg
 
Picha za milango
1443112841219.jpg

1443112881728.jpg

1443112913448.jpg
 
Picha hizo wadau
 

Attachments

  • 1443113031264.jpg
    1443113031264.jpg
    65.6 KB · Views: 681
  • 1443113069258.jpg
    1443113069258.jpg
    70.4 KB · Views: 546
  • 1443113104378.jpg
    1443113104378.jpg
    83.6 KB · Views: 634
Milango ipo Kivule Ukonga. Bei ni 350k
 
Kimaus i hope ulikuwa na msaidizi wa kubeba hiyo milango nje kupiga picha

Ni kweli hiyo milango huwezi kunyanyua mtu mmoja, especially mkongo, ni mzito mno. Ila picha hizo zilipigwa siku ilipofika toka kusini
 
Kibiashara huako sahii,
Tumia fursa hii vizuri kwa kifanya yafuatayo, :-
Aina biashara
Bidhaa ulizo nazo
Picha halisi/sample ya bidhaa(with quality view)
Bei
Upatikanaji wake
Mawasiliano ya muda wote
nk
Hivi ndivyo biashara inavyokwenda
 
Back
Top Bottom