kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 35
Natafuta mafundi wazuri wa kutengeza milango ya mbao na frame zake MWANZA wanajamvi kwa yoyote anayejua wanakopatikana anielekeze.
Asanteni.
Asanteni.
Umeshampata?
Bado mkuuUmeshampata?
0783319896 mcheki huyo ni fundi mzuri sanaNatafuta mafundi wazuri wa kutengeza milango ya mbao na frame zake MWANZA wanajamvi kwa yoyote anayejua wanakopatikana anielekeze.
Asanteni.