Sory mdau mie sio dada, hahaaaa
Kwa kupiga picha kama hiyo na kuiweka hapa, utakuwa Mdada au Shoga Style..... Sasa huyo Mtu alikufanya nini?
Sory mdau mie sio dada, hahaaaa
Ndugu nakuheshimu usipende kutoa lugha za kuudhi wenzio, una uhakika gani kwamba mie ndie niliepiga hizo picha, Au ina maana wote wanaolete picha humu wao ndo wamezipiga?
Uwe unajifikiria kabla ya kutukana wenzio.
Ngoja tuchore mstari kbs anayevuka ndio kidume.Yaan unakubali hivi hivi...............:juggle:mkuu una roho ngumu,unaitwa dada afu unajichekesha chekesha tena
Ndugu nakuheshimu usipende kutoa lugha za kuudhi wenzio, una uhakika gani kwamba mie ndie niliepiga hizo picha, Au ina maana wote wanaolete picha humu wao ndo wamezipiga?
Uwe unajifikiria kabla ya kutukana wenzio.
Kwa sababu hukuuwa, usichukue maiti na kumtembeza barabarani, eti kisa wewe hukuuwa.
Ukijiheshimu, na sisi tutakuheshimu. Hata kama si wewe ulipiga, kuziweka hapa ni sawa na aliyepiga.
Kwa bahati mbaya sana kwako, huyo Mdadank ndugu yangu. Ulitegemea nichekelee?
huo ni udhalilishaji...
acha kutokwa povu
Gari iliingia kwenye korongo itakuaje