Mila zingine mnaweza mkimbiane..

Noma....huko ndo wazungu waliiga kujipaka paka marangi nao!Sema angalau wao wanapangilia!
 
Wanawake wao hawajui hata kuficha maziwa? Dah haina utamu!
 
Mkiambiwa kuja kwa WADHUNGU kumetukomboa tunabisha! Hayo unayoyaona inamaanisha sote tungekuwa hivi uwaonavyo kwa maisha yetu yote. Jambo la msingi ni kwa viongozi na wanajamii wengine hasa WANAHARAKATI kusaidia kuelimisha na kufumbua macho hili kundi.
 
Mmmmhh! Mkuu! Ni mila ya mkoa gani? Lakini mi naona km wamependeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…