Nkizoka abandize ethiredi egi abaile nayenda kuhulila abahaya tulagambaki, mbwenu tumshale tutaandika lushwahili anga lungereza, tuandike akomuka tushulane, tumanyisangane amakuru, tutegeke.Nimbeiya waitu?
Ndo mira zenyewe,wakikutana tu haijarishi full kutembeza rugha.
Wahaya zamani zile hawakuwa na glass wala bakuli hivyo kama picha inavyoonyesha huyu mtu anakunywa pombe yake kupitia jani la mgomba lililokunjwa kiaina-aina. Wao wanaita Kitegela.
Naona na wahaya wa zama hizi wanaendeleza mila.........
Hata kwa kula linatumika kama bakuli ya mboga😀
Unatuuzia mbuzi kwenye gunia mkuu.....Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha mila za wahaya
rugha kiki omuruhaya/rushwahili??
Fungueni mtaona, kama nawatania.
Nazitailemu leba olazibona