Wahaya zamani zile hawakuwa na glass wala bakuli hivyo kama picha inavyoonyesha huyu mtu anakunywa pombe yake kupitia jani la mgomba lililokunjwa kiaina-aina. Wao wanaita Kitegela.
Naona na wahaya wa zama hizi wanaendeleza mila......... Hata kwa kula linatumika kama bakuli ya mboga😀