mil.10 natafuta gari kutoka kwenye yard..

mil.10 natafuta gari kutoka kwenye yard..

mbeyatz

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
150
Reaction score
32
salama humu ndani.!
wakuu nina m10,natafuta gari,je nitapata kwenye yard.!

isiwe inakula mafuta sana..
na iwe inafaa kwa safar ya kwenda mbeya japo mara moja kwa mwezi..

natanguliza shukrani..
 
Unataka gari la namna gani? unaonaje nikuagizie moja kwa moja toka Japan?
 
salama humu ndani.!
wakuu nina m10,natafuta gari,je nitapata kwenye yard.!

isiwe inakula mafuta sana..
na iwe inafaa kwa safar ya kwenda mbeya japo mara moja kwa mwezi..

natanguliza shukrani..

mkuu funguka pendekezo lako, manake kama ni gari zipo nyingi sana. too general.
 
salama humu ndani.!
wakuu nina m10,natafuta gari,je nitapata kwenye yard.!

isiwe inakula mafuta sana..
na iwe inafaa kwa safar ya kwenda mbeya japo mara moja kwa mwezi..

natanguliza shukrani..

mkuu hii style yako ya kutafuta gari namna hii itakula kwako. We unatangaza bei kabisa halafu unasema unataka gari ndogo. Watakuletea gari ambayo ilikua iuzwe 6m wakubandikie 10m. Inakula kwako.
Uwe unafanya survey na kubargain pia.
 
Agiza wewe...mwezi na nusu gari unayo mkononi..yard wanachskachua na ni expensive. ...gari ya 7m wao wanakuuzia 10m...watu tushastuka....fastaa from japan....ukipata agent mzuri
 
Back
Top Bottom