Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?najiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!
hivi uraia pacha inakuwaje? nataka niwape nafasi ya kuwa majasiri vijana kwa kuwa wapalestina wa kujiandikisha.
Hujawahi kuona MTU ametumbuliwa live wewenajiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!
hivi uraia pacha inakuwaje? nataka niwape nafasi ya kuwa majasiri vijana kwa kuwa wapalestina wa kujiandikisha.
Bora Babu zetu walikuwa hawajasoma na kuna wengine walikataa utumwa mpaka tone la mwisho, kuliko sisi tumesoma mpaka udaktari na tunasapoti utumwa na kuuza na kuwa-betray waafrika wenzetu.Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?
Acha uongo wewe.Bora Babu zetu walikuwa hawajasoma na kuna wengine walikataa utumwa mpaka tone la mwisho, kuliko sisi tumesoma mpaka udaktari na tunasapoti utumwa na kuuza na kuwa-betray waafrika wenzetu.
Ona migodi, mashamba, mafuta etc.
Tumekuwa hovyo kuliko Mababu zetu!!!
ndio maana nashindwa kuelewa hili!Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?