Mikutano ya Mh. Nape itaepusha hukumu iliyo mbele yake?

Ushauri wangu kwa CCM ni kwamba waache kujidanganya, bali washughulikie kero za wananchi. Kama wanadhani ujanja ujanja utamaliza tatizo la CCM kwa wananchi hii itakuwa ni ndoto kabisa. CCM wanatakiwa wajue kuwa matatizo ya wananchi ni halisi na yanahitaji ufumbuzi halisi, na si kuzunguka zunguuka kupiga siasa kama Mr. Nape anavyo fanya sasa.


kero za wananchi zitashughulikiwa na waliopo serikalini, mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya na wengine wengi, NAPE kazi yake ni kuendelea kuwavua nguo wanasiasa waongo, wanafiki na wachonganishi. Chama kina kazi za siasa ndio maana kimeteua watu wachache kuongoza serikali na chenyewe kubaki na kazi zake za siasa, sasa msitake kukinyang'anya haki yake. Ukisia PAAAAA ujue imekukosa NAPE kanyaga twende, jeshi la mtu mmoja POH POH hadi wakae.
 
Back
Top Bottom