Mikutano ya Mh. Nape itaepusha hukumu iliyo mbele yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano ya Mh. Nape itaepusha hukumu iliyo mbele yake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tankthinker, Jun 2, 2011.

 1. Tankthinker

  Tankthinker Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri wangu kwa CCM ni kwamba waache kujidanganya, bali washughulikie kero za wananchi. Kama wanadhani ujanja ujanja utamaliza tatizo la CCM kwa wananchi hii itakuwa ni ndoto kabisa. CCM wanatakiwa wajue kuwa matatizo ya wananchi ni halisi na yanahitaji ufumbuzi halisi, na si kuzunguka zunguuka kupiga siasa kama Mr. Nape anavyo fanya sasa. Ni kweli kuzunguka atazunguka hata kama ataimaliza Tanzania nzima. Ukweli utabaki kuwa wananchi wanahitaji mabadiliko na si masimulizi ya kisiasa. Faida pekee ya uzungukaji wa Mh. Nape ni wingi wa posho atakazo jipatia, na si kuondoa tatizo la CCM machoni pa Watanzania. Kama kweli ninyi viongozi wa CCM mnamasikio basi sikeni, na kama kweli mna macho basi tazameni, nakama kweli mna akili basi eleweni. Vinginevyo 2015 itawahukumuni tena kwa aibu kubwa sana kuliko hii mlio nayo, maana ninyi mkidhani ni ujuzi wa kusimama majukwaani na kupiga kelele kana kwamba CHADEMA ndio tatizo. Watanzania wanataka maisha bora kwa kila Mtanzania, hicho ndicho kilio chao na si vinginevyo. Mkiendelea kupuuza ukweli huu, huku mkitegemea uchakachuaji utawalinda daima, tambueni kuwa mnajindanganya kwa mbali sana. Get ready CCM you are about to be replaced.
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mikwala ya Dog ya Chama Cha Denda na Mademu!
   
 3. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45

  Ndiyo nini mkubwa? Mbona hueleweki hoja yako?
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hata mandamano ya CDM yanawapa posho akina Slaa na Mbowe tena wanatumia vibaya ruzuku. Wananchi walio wengi vijijini wanamshabikia Nape, majuzi kapokea kazi za CDM huko Sumbawanga. Wewe hauwezi kutoa maoni mazuri kwa CCM! Tunakupotezea
   
 5. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sio rahisi wakuelewe sasa, ila kwa sababu wao wameona mvuto ni uvuvuzela waache.
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huu ni ushauri mzuri sana kama ungeshauri
  watu wenye fikra
  lakini kuna watu/chama fikra zao ni sawa na za mizoga
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Well said, maana katika speech zake, nape anakiri rushwa na ufisadi ndani ya ccm kuwa vimekizorotesha chama na serikali yake. Ukimsikiliza hatua za kuchukua anasema SUBIRI baada ya zile siku 90, SUBIRI bajeti ijayo itajibu, SUBIRI uchaguzi ujao wa ccm utawatosa wengi. Yaani porojo mtindo mmoja, hakuna mahali anapofafanua sera na dira ya ccm kuelekea maisha bora! Yeye na cdm tu jambo ambalo si tatizo letu la msingi.
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ostrich philosophy
   
 9. n

  niweze JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu unafikiri hawa mababu wataweza kitu chochote. The problem is we as Tanzanians need to forget and close the book of phony politicians and we should not focus on ccm no more.

  ccm is a disease and I until now the world doesn't have cure for it.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna lolote la maana linalofanywa na Nape kukisaidia chama.....
   
 11. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa halisikii dawa.nawashangaa sana hawa mamluki wanaotetea ccm kwa hoja mbovu mbovu humu jf.mnazidi kukipoteza chama.
   
 12. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nape anasaka wanachama wa kufufua CCJ kwa kutumia gharama za CCM. Siku CCM wakishtuka watakuta Sekretariet yao nzima ni New CCJ
   
 13. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM hawana macho wala masikio ni sawa sawa unampigia mbuzi gitaa
   
 14. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ilikuwa kila siku lowassa, lowassa....
  ikaja
  rostam, rostam, chenge, chenge
  na sasa mmehamia
  kwa nape....mnampenda huyu nape ?? au wivu
   
 15. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ushauri mnaokubali nyinyi ni ule tu wa kuikosoa ccm na ikikosolewa chadema basi watu wametumwa eeeh ??
   
 16. kyangara

  kyangara Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ushabiki mwingine ni wa kitoto kweli mtoa hoja ametoa hoja yenye mashiko kabisa bt kwa kuwa wewe unawaza utumbo unawaza maandamano ya cdm tu kwani nani kaongelea posho hapo?ccm washughulikie kero za wananchi na waache porojo hiyo ndio point hapo
   
 17. N

  Nanu JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Gunz, Tatizo sio Nape kuzunguka kwa wananchi, Tatizo ni CCM kukubali kuwa Tatizo siyo CHADEMA ni hali duni ya maisha ya wananchi na wao wamepewa ridhaa ya kutatua matatizo hayo ya wananchi. Inabdi wanahutubia majukwaani waseme ni kwa kiasi gani wametatua kero hizo na siyo kuanza kusema CHADEMA wanataka vita watatuweka vitani wanachochea migomo wanaendesha maandamano! Hilo lisiwe ajenda maaana wanawajenga CHADEMA zaidi kwamba hata pale CHADEMA haina mvuto itaonekana kuwa kumbe CHADEMA ndiyo inainyima CCM usingizi hivyo kila mwanachama wa CCM akitaka kuondoka CCM atajiunga na CHADEMA maana anajua ndiyo adui wa CCM.
  Lazima CCM ijue kuwa watanzania tunahitaji nini. Amani tunayo na tunahitaji sana lakini ukiwakandamiza wananchi sana siku moja watalipuka na kuwatuliza itakuwa ngumu sana. Ukiendelea kujaza mpira uliojaa kwa pump ule mpira utapasuka na ile hewa yote itatoka na kutapakaa na kukusanya tena itakuwa ni ngumu sana!
   
 18. N

  Nanu JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anachafanya NAPE ndicho alichotumwa na Chama Chake Cha Mapinduzi. Nape kama Nape anatekeleza majukumu aliyoelekezwa. Tatizo lipo kwenye Kamati nzima. Kugundua tatizo ni nini hasa! Kwanini wananchi wanawashabikia wapinzani zaidi sasa kuliko miaka mingine iliyopita! Na wakigunduwa hilo na kulitekeleza na kupeleka kwa wananchi jinsi walivyotekeleza CCM itaendelea kuwa Chama imara Tanzania nzima. Lakini kwa hili la ku-single out CHADEMA tu nadhani ni mbio za sakafuni!!!
   
 19. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM HAS RELIED ON POWER AND FORGOT THEIR HEADS.
  Hakuna wanachoona, hakuna wanachofikiria, na hawajui wafanye nini kumnufaisha Mtz isipokuwa kuamrisha dola ichafue Amani na usalama wa raia katika kuitafuta haki.
  A HERO DOES NOT NEED A WEAPON TO SAVE PEOPLE ONLY FREEDOM, PROBABILITY, CONSISTANCE and STRATEGIC MANAGEMENT.
  WAR FRONT CHADEMA LETS GO.
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Nani kakwambia tumeacha lowassa, lowassa....rostam, rostam......chenge, chenge?.....hatujaacha na tumeunganisha na nape.....nape....
   
Loading...