trulyprincesshilda
New Member
- Nov 12, 2013
- 2
- 1
MIKUTANO YA BIASHARA - Maonesho ya Saba Saba
AgriProFocus Tanzania ikishirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) inaandaa mikutano ya kibiashara itakayofanyika tarehe 2 hadi 6 Julai 2016 kwenye maonesho ya 40 yaKimataifa ya Biashara (maarufu kama saba saba) Dar Es Salaam. Mikutano hii italenga sekta zifutazo:
· Mifugo – Kuku na Ng’ombe wa maziwa
· Asali
· Mboga mboga na matunda (Chillies, Nutmeg, Cloves, Black pepper, Tomatoes, Watermelons, Mangoes, Onions, Pineapples, Lime)
· Korosho na ufuta
Lengo la mikutano hii ni;
1. Kujenga uhusiano kati ya uzalishaji(supply) na uhitaji (demand) wa mazao ya kilimo katika Afrika Mashariki
2. Kutoa fursa kwa wafanyabiashara kujadili (uso kwa uso) masuala ya kilimo biashara
3. Kuhamashisha biashara na uwekezaji kwenye sekta ya kilimo biashara ndani ya Afrika Mashariki
Ili kushiriki jaza fomu ya usjali na uitume kwa Katarina Mungure - kmungure@agriprofocus.com na Hilda Okoth hokoth@agriprofocus.com
Wanunuzi na watoa huduma mbalimbali wanotamani kushiriki kwenye mikutano hii wafikishe maombi yao kwa Norah Mishili – norah.mishili@tantrade.or.tz na Katarina Mungure – knumgure@agriprofocus.com
Tunawahimiza mashirika kusambaza ujumbe huu kwa makundi mbaimbali ya wazalishaji.
Zingatia yafuatayo:
- Mikutano hii ni ya wati 40 tu. Jisajili mapema!
-Washiriki wote wataghramikia ghrama zote zinazohusika na kuhudhuria mikutano hii. Waandaaji hawatatoa chakula ch mchana wala viburudisho.
-Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Mei 2016
Kwa maelezo zaidi tembelea - Agri Pro Focus