PreGE2025 Mikutano ya CHADEMA yazuiwa Ruvuma, ni marufuku kutamka "No Reforms, No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!

====

Screenshot_20250410_134502_X.jpg

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema hayo Aprili 10, 2025, akizungumza na Jambo TV, muda mfupi baada ya kuhojiwa na polisi kutokana na wito uliowasilishwa kwa viongozi wa chama hicho kufika Kituo Kikuu cha Polisi Songea.

Akieleza hali ilivyokuwa, Heche amesema kuwa walipofika kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma (RPC), walipewa maelekezo ya kusitisha mikutano yote iliyopangwa kufanyika mkoani humo, ikiwamo mkutano na waandishi wa habari.

"Polisi walikuwa wametukamata, wametufikisha kwa RPC na wakapiga marufuku kwamba hawaruhusu mkutano wowote wala kufanya mkutano na wanahabari katika mkoa huo... wametuambia tuondoke hapa Ruvuma kwani mikutano yote imepigwa marufuku," amesema Heche.

Ameeleza kuwa walielekezwa kuwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusiana na kampeni ya "No Reforms No Election", na kwamba iwapo chama hicho kinataka kufanya mikutano, basi wajadili mada nyingine isiyohusiana na msimamo huo wa kisiasa.

"Nikamuuliza tuchagulie mada unayopendelea tuiwasilishe, akasema ‘hamruhusiwi kuzungumza No Reforms No Election hapa’,’’ ameongeza Heche.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya, alipotafutwa na Jambo TV kuhusiana na tukio hilo, amesema kuwa atatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari muda utakapofika (Saa 7 mchana siku ya Alhamisi), na hakupenda kuzungumzia tukio hilo kwa undani kwa wakati huo.

Hata hivyo, mpaka sasa haijatolewa sababu rasmi ya kuzuia mikutano hiyo, huku Jeshi la Polisi likitarajiwa kueleza msimamo wake kuhusu sababu za usitishaji huo, hasa katika kipindi ambacho CHADEMA imezidisha kampeni ya kupinga uchaguzi mkuu ujao iwapo marekebisho ya mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Tukio hili linatajwa kuongeza mvutano kati ya viongozi wa CHADEMA na vyombo vya dola, hasa wakati ambapo mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu, naye akielezwa kukamatwa Aprili 09, 2025 mkoani humo mara baada ya mkutano wa hadhara uliohusisha kampeni ya "Tone Tone" na "No Reforms No Election".

Wachambuzi wa siasa wanatazama hatua hizi kama dalili za msuguano unaozidi kuongezeka kati ya serikali na upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, huku wakihoji nafasi ya uhuru wa kisiasa na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria.
 
No reforms no election ni moto. ChoiceVariable CCM hoyee
 
Mkoa wetu wa Ruvuma ni wa amani, hao chadema wamefika tu wakaanza kufanya fujo, wanaongea maneno ya kumwaga damu zetu
 
Ruvuma si ndiyo kwa Dr.Nchimbi na yule Mwalimu Jenester?
 
CCM wamwangalie mahita aliewasingizia cuf eti wana visu anavyoteseka na stroke kwa madhambi
 
Wakuu,

Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!

====

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema hayo Aprili 10, 2025, akizungumza na Jambo TV, muda mfupi baada ya kuhojiwa na polisi kutokana na wito uliowasilishwa kwa viongozi wa chama hicho kufika Kituo Kikuu cha Polisi Songea.

Akieleza hali ilivyokuwa, Heche amesema kuwa walipofika kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma (RPC), walipewa maelekezo ya kusitisha mikutano yote iliyopangwa kufanyika mkoani humo, ikiwamo mkutano na waandishi wa habari.

"Polisi walikuwa wametukamata, wametufikisha kwa RPC na wakapiga marufuku kwamba hawaruhusu mkutano wowote wala kufanya mkutano na wanahabari katika mkoa huo... wametuambia tuondoke hapa Ruvuma kwani mikutano yote imepigwa marufuku," amesema Heche.

Ameeleza kuwa walielekezwa kuwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusiana na kampeni ya "No Reforms No Election", na kwamba iwapo chama hicho kinataka kufanya mikutano, basi wajadili mada nyingine isiyohusiana na msimamo huo wa kisiasa.

"Nikamuuliza tuchagulie mada unayopendelea tuiwasilishe, akasema ‘hamruhusiwi kuzungumza No Reforms No Election hapa’,’’ ameongeza Heche.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya, alipotafutwa na Jambo TV kuhusiana na tukio hilo, amesema kuwa atatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari muda utakapofika (Saa 7 mchana siku ya Alhamisi), na hakupenda kuzungumzia tukio hilo kwa undani kwa wakati huo.

Hata hivyo, mpaka sasa haijatolewa sababu rasmi ya kuzuia mikutano hiyo, huku Jeshi la Polisi likitarajiwa kueleza msimamo wake kuhusu sababu za usitishaji huo, hasa katika kipindi ambacho CHADEMA imezidisha kampeni ya kupinga uchaguzi mkuu ujao iwapo marekebisho ya mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Tukio hili linatajwa kuongeza mvutano kati ya viongozi wa CHADEMA na vyombo vya dola, hasa wakati ambapo mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu, naye akielezwa kukamatwa Aprili 09, 2025 mkoani humo mara baada ya mkutano wa hadhara uliohusisha kampeni ya "Tone Tone" na "No Reforms No Election".

Wachambuzi wa siasa wanatazama hatua hizi kama dalili za msuguano unaozidi kuongezeka kati ya serikali na upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, huku wakihoji nafasi ya uhuru wa kisiasa na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria.
Safi sana Jeshi la Polisi linaifanya kazi ya Chadema kuwa nyepesi zaidi kwani mojawapo ya malalamiko ya Chadema na upinzani kwa jumla ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola kutumiwa na CCM kukakandamiza upinzani na hata kushiriki wizi wa kura kuisaidia CCM kubaki madarakani. Asanteni sana Polisiccm kwa kuunganisha nguvu zenu kuupeleka ujumbe wetu duniani kote.
 
Wakuu,

Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!

====

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema hayo Aprili 10, 2025, akizungumza na Jambo TV, muda mfupi baada ya kuhojiwa na polisi kutokana na wito uliowasilishwa kwa viongozi wa chama hicho kufika Kituo Kikuu cha Polisi Songea.

Akieleza hali ilivyokuwa, Heche amesema kuwa walipofika kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma (RPC), walipewa maelekezo ya kusitisha mikutano yote iliyopangwa kufanyika mkoani humo, ikiwamo mkutano na waandishi wa habari.

"Polisi walikuwa wametukamata, wametufikisha kwa RPC na wakapiga marufuku kwamba hawaruhusu mkutano wowote wala kufanya mkutano na wanahabari katika mkoa huo... wametuambia tuondoke hapa Ruvuma kwani mikutano yote imepigwa marufuku," amesema Heche.

Ameeleza kuwa walielekezwa kuwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusiana na kampeni ya "No Reforms No Election", na kwamba iwapo chama hicho kinataka kufanya mikutano, basi wajadili mada nyingine isiyohusiana na msimamo huo wa kisiasa.

"Nikamuuliza tuchagulie mada unayopendelea tuiwasilishe, akasema ‘hamruhusiwi kuzungumza No Reforms No Election hapa’,’’ ameongeza Heche.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya, alipotafutwa na Jambo TV kuhusiana na tukio hilo, amesema kuwa atatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari muda utakapofika (Saa 7 mchana siku ya Alhamisi), na hakupenda kuzungumzia tukio hilo kwa undani kwa wakati huo.

Hata hivyo, mpaka sasa haijatolewa sababu rasmi ya kuzuia mikutano hiyo, huku Jeshi la Polisi likitarajiwa kueleza msimamo wake kuhusu sababu za usitishaji huo, hasa katika kipindi ambacho CHADEMA imezidisha kampeni ya kupinga uchaguzi mkuu ujao iwapo marekebisho ya mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Tukio hili linatajwa kuongeza mvutano kati ya viongozi wa CHADEMA na vyombo vya dola, hasa wakati ambapo mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu, naye akielezwa kukamatwa Aprili 09, 2025 mkoani humo mara baada ya mkutano wa hadhara uliohusisha kampeni ya "Tone Tone" na "No Reforms No Election".

Wachambuzi wa siasa wanatazama hatua hizi kama dalili za msuguano unaozidi kuongezeka kati ya serikali na upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, huku wakihoji nafasi ya uhuru wa kisiasa na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria.
CCM.wanajiharishia
 
Wakuu,

Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!

====

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema hayo Aprili 10, 2025, akizungumza na Jambo TV, muda mfupi baada ya kuhojiwa na polisi kutokana na wito uliowasilishwa kwa viongozi wa chama hicho kufika Kituo Kikuu cha Polisi Songea.

Akieleza hali ilivyokuwa, Heche amesema kuwa walipofika kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma (RPC), walipewa maelekezo ya kusitisha mikutano yote iliyopangwa kufanyika mkoani humo, ikiwamo mkutano na waandishi wa habari.

"Polisi walikuwa wametukamata, wametufikisha kwa RPC na wakapiga marufuku kwamba hawaruhusu mkutano wowote wala kufanya mkutano na wanahabari katika mkoa huo... wametuambia tuondoke hapa Ruvuma kwani mikutano yote imepigwa marufuku," amesema Heche.

Ameeleza kuwa walielekezwa kuwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusiana na kampeni ya "No Reforms No Election", na kwamba iwapo chama hicho kinataka kufanya mikutano, basi wajadili mada nyingine isiyohusiana na msimamo huo wa kisiasa.

"Nikamuuliza tuchagulie mada unayopendelea tuiwasilishe, akasema ‘hamruhusiwi kuzungumza No Reforms No Election hapa’,’’ ameongeza Heche.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya, alipotafutwa na Jambo TV kuhusiana na tukio hilo, amesema kuwa atatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari muda utakapofika (Saa 7 mchana siku ya Alhamisi), na hakupenda kuzungumzia tukio hilo kwa undani kwa wakati huo.

Hata hivyo, mpaka sasa haijatolewa sababu rasmi ya kuzuia mikutano hiyo, huku Jeshi la Polisi likitarajiwa kueleza msimamo wake kuhusu sababu za usitishaji huo, hasa katika kipindi ambacho CHADEMA imezidisha kampeni ya kupinga uchaguzi mkuu ujao iwapo marekebisho ya mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa.

Tukio hili linatajwa kuongeza mvutano kati ya viongozi wa CHADEMA na vyombo vya dola, hasa wakati ambapo mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu, naye akielezwa kukamatwa Aprili 09, 2025 mkoani humo mara baada ya mkutano wa hadhara uliohusisha kampeni ya "Tone Tone" na "No Reforms No Election".

Wachambuzi wa siasa wanatazama hatua hizi kama dalili za msuguano unaozidi kuongezeka kati ya serikali na upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, huku wakihoji nafasi ya uhuru wa kisiasa na haki yva vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria.
Viongozi na wanaharakati wa,CHADEMA wataishia kulialia humu mitandaoni na maisha yatasonga mbele.

Wananchi wako busy na ushindi wa Simba kuingia nusufainali.

Walimbeza Mbowe kuzungumza na serikali lakini ndiyo best option kwa wanasiasa katika jamii kama ya watanzania.

G 55 wataprove walikuwa sahihi kuhsu msimamo wao kuwa unaibana serikali huku unashiriki uchaguzi na kuacha room ya mazungumzo wazi.

Lissu itakuwa vigumu kuachiwa kabla ya uchaguzi wa Oktoba na watalazimika kuzungumza kama Mbowe na itakuwa aibu kwao.

Kwa jinsi kelele zilivyopigwa kuhusu dhuluma za uchaguzi lazima CCM na serikali watalegeza hawataweza kufanya dhuluma kama zile za uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita na hapo ndio pangekuwa pa kukamatia ili kupata forum za kupaza sauti.

Ichaguzi huru na haki wa asilimia 100 kwa mazingira haya hautaweza kufanyika ila win win situation ingewezekana.

Tena wakati ukifika hawa makatibu wa majimbo watawaandikia barua za uta.mbulishoi za kuchukulia fomu kwa wanachama waasi watakaoamua kugombea na watatambulika na kupewa fomu na watakubalika na Tume kugombea

Uongozi mpya wa CHADEMA haukutumia akili wao walifikiri ulimi na key boardi pekee utawapa mamlaka ya nchi, kumbe mazungumzo ndio njia bora ya kupata wallau sehemu ya kile mtu anachodai.

Nchi hii hakuna mwanasiasa mwenye watu nyuma kama ilivyo Kenya .
 
Wanaohangaika na simba ndio mazuzu, wanapewa chakula huko?
 
NO REFORMS NO ELECTION tutavaa Tisheti Nchi nzima.
 
Back
Top Bottom