Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

Kila sehemu wanakataliwa sasa dar nasikia ni aibu hata hai wameanza kujadili ngoja tuone watatokea wapi.
 
mleta uzi tuambie vizuri Dr Kitila hatoki Mingela we mzushi sana na wasiwasi na wewe,Mi nimesoma naye najua anakotokea ni jirani yangu Acha kuweweseka subiri doz sahihi.hapa yaani nulomboka iti mwa na kukwitu.kolwa nsoni kati!
 

Mwigulu acha kuhaha,Maeneo tuliyofanya mikutano katika jimbo la Iramba Magharibi ni maeneo ambayo hayakuwahi kufikiwa kichama na CHADEMA, hii ilikuwa ni mara ya kwanza; lakini kwa majigambo yako kwamba wewe unapendwa jimboni kwako nilijua tungekuwa na kazi kuwapata wananchi kuhudhuria mikutano jambo ambalo lilikuwa tofauti kabisa na wananchi walijaa kwenye mikutano yetu yote pamoja na kwamba kwenye baadhi ya maeneo ulipeleka viti
sho na mechi za mpira wa miguu ili vijana wasije kwenye mikutano
Iramba imebadilika sana na ushauri wangu kwako ni kwamba usijidanganye kwamba utarudi kuwa mbunge wa jimbo hilo tena..
katika picha ni wananchi wa kijiji cha Tyegelo ambao waliacha kunywa pombe na kufuatilia mkutano wetu kwa hisia kama wanavyoonekana hapo na sio uongo anaoueleza Mwigulu>>>
 
Kila sehemu wanakataliwa sasa dar nasikia ni aibu hata hai wameanza kujadili ngoja tuone watatokea wapi.

Tulia dawa iingie mkuu wewe hapo Simiyu msubiri Mzee wa ......... kwenye ziara yake uone atakavyoaibika kama hamtasomba raia na kutafuta vikundi kibaao vya sanaa.
 
Shelui = mwigulu chemba. Hawa makamanda watamuuwa mwigulu chemba kwa presha. Kanyageni hapo hapo...naona anazidi kuingiwa na woga na kuweweseka kila siku hahaha hahaha. Kamanda jesca kishoa kanyaga hapo hapo wewe ni dawa tosha ya mwigulu chemba.
 
mikutano ya mara kwa mara inatosha kumgoa huyo nchemba
 

Mwigulu una matatizo sana wewe, kwanza Dr Kitila Mkumbo kwao ni Mgela kata ya Mtoa na sio Mingela kata ya Kidaru tulikofanya mkutano, pili Kitila anakubalika sana hasa kwa busara zake na huwezi kujilinganisha naye hata kidogo...nimeshakushauri uanze tu kuaga...
 
Huenda unayoongea n kwel lakn kaa ujue syo sehemu zote wamegundua uovu wa CCM ...Kwa hyo...andika status ya kuwaelmisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…