Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

Shelui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
1,114
Reaction score
76
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
 
Ndio maana umekacha bunge kwenda kuwachungulia CHADEMA JIMBONI. MNA KAZI KWELI KWELI NYIE WATU.
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
Asante sana kwa taarifa unafaa kuwa Katibu mwenezi wa Chadema-Iramba, maana wengine tulikuwa hatujui kama kuna mikutano ya Chadema inaendelea.
 
Kwa jinsi ninavyokufahamu, huwezi hata siku moja kuweka uzi hapa ambao utakuwa unaelezea kufana kwa mikutano ya chadema. Kutegemea hilo kutoka kwako ni sawa sawa na kutegemea kukamua maziwa kutoka kwa ng'ombe dume! Kama wanafanya mkutano na wanafika watu 45 bado ni mafanikio pia kwa sababu haba na haba hujaza kibaba.
 
Mikutano ya CHADEMA
inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya
kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu,
Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji
cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu
hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu
wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu.
Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye
alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba
mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa
kul'inga ikulukulu.
Mlisema hivyo hivyo tukashtukia Chadema wanachukua kata Iramba
 
Shelui ndo jina analotumia Mwigulu Nchemba kwa wasio jua kwa hiyo taarifa hii ndo yeye kaitoa cjui inaukweli gani
 
Yeye ni Field Marshal anaweza kufanya mambo ya ajabu kiasi binadamu wa kawaida akashangaa.

yale yale...hata ktk timu zetu kuna majina ya akina messi..redondo...lakini linganisha umahiri wao mpirani..na hao kina Messi na Redondo.....field marshal..duh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom