Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz woteKwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.
Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.
Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
Waue mara 3 zaidi ya walioua Oktoba 29?!Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz wote
Kusema wanataka kupindua serikal ni false, unaendaje kupindua serikal huna silaha, huna plan , huna support?
Hahaha only if unaweza dhibitisha but we all know hawakuambiwa chochote, hakuna anaependa gereza tusidanganyaneTUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.
Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Kama hujui sema tu sijui. Mkakati ulikuwa kamatweni tutawatoa baada ya kufanikisha. Baada ya kikokotoo kugoma sasa wanahangaika namna ya kuwatoa.Hahaha only if unaweza dhibitisha but we all know hawakuambiwa chochote, hakuna anaependa gereza tusidanganyane
Kama gov ingetaka kuwafunga vizur ingewaacha mtaani ila walikurupuka hivyo automativ ikawaosha viongoz wa chama
Narudia tena hakuna chama kinachopenda viongoz wake wafungwe, wakose ruzuku, au washindwe kufanya shughuli za kichama
Mkiendelea kukwepa mzizi wa tatizo ambao sio chadema, mtakutana na makubwa zaidi
If that how serikal inawaza they lack imagination. Ilikuwa rahis sana kuwakamata kwenye act kuliko kuwakamata kablaKama hujui sema tu sijui. Mkakati ulikuwa kamatweni tutawatoa baada ya kufanikisha. Baada ya kikokotoo kugoma sasa wanahangaika namna ya kuwatoa.
Polisi wanapewa bunduki na risasi kulinda benki ili kuua wezi. Kama umepewa bunduki na risasi ili kulinda TRA, sheli, Bank na mahakama lakini hukuitumia kulinda ili zichomwe moto na kuibiwa maana yake wewe polisi utakuwa unahusika.Mimi polisi akiua ndugu yangu Mmoja Mimi nitaua Polisi Elfu Moja.
Polisi wanadhani kazi yao Kuua Raia na Sio Kulinda
PUMBAVU KABISA.
Na nyie na mkaingia mkenge wa kuwakamata na Intelijensia yenu ya mabua.TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.
Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Na nyie na mkaingia mkenge wa kuwakamata na Intelijensia yenu ya mabua.
Tusubiri matokeo ya tume ya kuchuguza jinae itoe matokeo yake kwanza. Ila wewe nakusifu sana; ni mjanja sana, hukushiriki upuuzi ule. Vinginevyo ungeuliwa pengine na wewe.If that how serikal inawaza they lack imagination. Ilikuwa rahis sana kuwakamata kwenye act kuliko kuwakamata kabla
Ndio maana sasa hivi wanaonekana hawana hatia , wanapata publick support maana walikwua ndani, so inaonekana walionewa
ile mikutano ya kuchangisha pesa kwaajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema taifa au?🐒Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.
Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.
Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
Zanzibar Sultani alipinduliwa kwa kutumia silaha gani? Hukuona hao wahuni huko maeneo ya Kimara walikuwa wanavamia vituo vya Polisi? Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakagundua ndio wakaanza kiwarenga za kichwa!! Safari hii kama wataandamana naamini vyombo vitaanza kupiga za kichwa mapema tu.Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz wote
Kusema wanataka kupindua serikal ni false, unaendaje kupindua serikal huna silaha, huna plan , huna support?
wanakusanya fedha, lakini wana agenda ya kuambiana "hamkujitokeza, mlituangusha, msifanye hivyo siku nyingine". Hesabu zilikuwa "tuikamate ofisi kwanza kisha tuwatoe "mashujaa" wetu". Hesabu zikagoma.ile mikutano ya kuchangisha pesa kwaajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema taifa au?🐒
Mfukuliwaji!!🤣Wanufaika na mfumo naona mko busy kutetea kitumbua chenu
Kisiguswe
Wajinga kamaMfukuliwaji!!🤣
Eti misukule wakati wanaongoza nchi ya Tanzania. una akili kweli wewe!!?Wajinga kama
Nyie ndo manafanya CCM ionekane imejaza misukule
Wanadhani watanzania ni mazuzu wa kiasi wanachodhani. Wanadhani wale wanaokuja kwenye mikutano yao wako tayari kufa kipuuzi. Wanadhani vijana hawajui kwamba watoto wa viongozi wa chadema hawakuuliwa hata mmoja kwenye maandamano yale. Wanadhani hawajui kwamba watoto wa Lissu, Lema, Heche wako wapi hivi sasa.Zanzibar Sultani alipinduliwa kwa kutumia silaha gani? Hukuona hao wahuni huko maeneo ya Kimara walikuwa wanavamia vituo vya Polisi? Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakagundua ndio wakaanza kiwarenga za kichwa!! Safari hii kama wataandamana naamini vyombo vitaanza kupiga za kichwa mapema tu.