Mikutano ya CHADEMA Mtwara Mjini ya watia hofu CCM

Mr Zee

Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
7
Reaction score
5
Napenda kuwapongeza viongozi wa CDM Mtwara Mjini kwakufanikisha mikutano mikubwa ya hadhara katika viunga vya Manispaa ya Mtwara, 15.03.2015 mkutano mkubwa sana ulifanyika katika viwanja vya Sinani kama inavyoonekana katika picha.

Mkutano huu uliwavutia sana wana-Mtwara waliojitokeza kwa wingikuhudhuria kutokana na umahiri wa wazungumzaji wa CDM kujenga hoja zinazogusajamii na kivutio kingine ni viongozi wote NCCR-Mageuzi Wilaya kuhudhuria kama sehemu yaUmoja wa katiba ya wananchi (UKAWA).

Mwenyekiti wa CDMwilaya ndugu Ibrahimu Mandoa aliwavutia sana wana-Mtwara kwa kuongelea kwaujasili suala la migogoro ya ardhi katika manispaa ya Mtwara na namna ambavyo CHADEMA kama chama kimejipangakuwatetea wananchi na kuhakikisha wanapata haki zao

CHADEMA pia ilichukua nafasi hiyo kuwashukuru wana-Mtwara wote kwa uamuzi wao sahihi na makini wakuwapatia ushindi katika kata 16 katika uchaguzi wa serikali za mitaa nakuwaomba kuendelea kuiamini CHADEMA na kuiunga mkono kuelekea kuchukua jimbo hili na pia mwenyekiti aliwajulisha wananchi uamuzi wa CHADEMA makao makuu kuamua kuhamishia Mtwara Mjini Makao makuu ya kanda ya kusini kutoka Ruvum aikiwa ni moja ya njia za kuonyesha imani kubwa waliyonayo kwa wananchi wa mikoaya Mtwara na Lindi (Southern Zone)

Leo CHADEMA wamefanya mkutano mwingine katika eneo laMikindani na habari nilizozipata hivi punde nikuwa CCM tayari wameanza kupata homa kwa kasi hii cha Chadema kwani wananchi wameitikia wito na kudhuria kwa wingi katika mikutano hii na hii inaonyesha kwamba jimbo hili litaangukia mikononi mwa UKAWA katika uchaguzi wa Octoba mwaka huu.
"PEOPLES POWER"–Pamoja tunaweza
attachment.php

Attachments

  • IMG_20150315_173455.jpg
    IMG_20150315_173455.jpg
    719.5 KB · Views: 903
  • mtwara.JPG
    mtwara.JPG
    40.8 KB · Views: 2,833
ni faraja kila usikiapo zilizokuwa ngome za mafisi zikizidi kuasi...
 
Napenda kuwapongeza viongozi wa CDM Mtwara Mjini kwakufanikisha mikutano mikubwa ya hadhara katika viunga vya Manispaa ya Mtwara, 15.03.2015 mkutano mkubwa sana ulifanyika katika viwanja vya Sinani kama inavyoonekana katika picha.

Mkutano huu uliwavutia sana wana-Mtwara waliojitokeza kwa wingikuhudhuria kutokana na umahiri wa wazungumzaji wa CDM kujenga hoja zinazogusajamii na kivutio kingine ni viongozi wote NCCR-Mageuzi Wilaya kuhudhuria kama sehemu yaUmoja wa katiba ya wananchi (UKAWA).

Mwenyekiti wa CDMwilaya ndugu Ibrahimu Mandoa aliwavutia sana wana-Mtwara kwa kuongelea kwaujasili suala la migogoro ya ardhi katika manispaa ya Mtwara na namna ambavyo CHADEMA kama chama kimejipangakuwatetea wananchi na kuhakikisha wanapata haki zao

CHADEMA pia ilichukua nafasi hiyo kuwashukuru wana-Mtwara wote kwa uamuzi wao sahihi na makini wakuwapatia ushindi katika kata 16 katika uchaguzi wa serikali za mitaa nakuwaomba kuendelea kuiamini CHADEMA na kuiunga mkono kuelekea kuchukua jimbo hili na pia mwenyekiti aliwajulisha wananchi uamuzi wa CHADEMA makao makuu kuamua kuhamishia Mtwara Mjini Makao makuu ya kanda ya kusini kutoka Ruvum aikiwa ni moja ya njia za kuonyesha imani kubwa waliyonayo kwa wananchi wa mikoaya Mtwara na Lindi (Southern Zone)

Leo CHADEMA wamefanya mkutano mwingine katika eneo laMikindani na habari nilizozipata hivi punde nikuwa CCM tayari wameanza kupata homa kwa kasi hii cha Chadema kwani wananchi wameitikia wito na kudhuria kwa wingi katika mikutano hii na hii inaonyesha kwamba jimbo hili litaangukia mikononi mwa UKAWA katika uchaguzi wa Octoba mwaka huu.
"PEOPLES POWER"–Pamoja tunaweza
Kata 16 si haba, hongereni na songeni mbele.
 
Chadema inasafisha mapori yaliyojaa visiki,tutaanzia Mtama,Tunduru,na Tandahimba kisha tunaelekea kas kusini na kas,ccm andaeni mbinu mpya maana hata polisi wamr
 
Time is not their best ally. Wafanye haraka sana hasa tunapoelekea Oktoba baada ya mkakati wao wa MM kukwama.
 
CHADEMA-Mtwara hamjawatendea haki wanafunzi na wanachama kutoka chuo kikuu STEMMUCO(SAUT) wanachama hawa wa CHADEMA hawashirikishwi kabisa. kwa mfano, kwa takribani miezi 6 Wanachamq hawajafanya vikao na mbaya zaidi hakuna hatakiongozi mmoja kutok wilaya amabaye amekuja kukutana na wanachama hawa,. ninatoa wito kuwa kwakuwa wakati kura za mqoni na wakati wa uchaguzi wa Rais , wabunge na madiwani ,wanafunzi watakuwa chuoni na maana yake ni kuwa watapiga kura wakiwa hapa. je viongozi nyie hamuoni kamani wakati sasa wakuwatembelea wanachama swa SAUT
PILI!? nikwanini viongozi wa CHADEMA ngazi ya kitaifa hawatembelei MTWARA? sisi wanachadema tunamhitaji mbowe, slaa, mnyika na viongozi wengine ngazi ya kitaifa
 
Mtwara ni ngome ya CUF, Chadema mnafanya nini huko au mmeshajitoa Ukawa?
 
Back
Top Bottom