Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Mkuu wa kitengo cha polis mkoani singida. Ameruhusu mikutano ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) baada ya kutokea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 14 july.vurugu hizo zinazodaiwa kuhusishwa na mbunge wa jimbo hilo mwigulu nchemba zimesababisha watu kadhaa kujeruhiwa! Hata hivyo mikutano ya chadema itaendelea huku polisi wakiendelea na uchuguzi wa kina! Taarifa zaidi zitakujieni