loisiligack
Member
- Nov 2, 2016
- 5
- 0
Ivi ushawahi kujiuliza kuhusu mali alizonazo mzazi wako kazitoa wapi????
Ukitaka kujua subiri afe ndo utajua kama alikopa au ni za juhudi yake.
Fuatilia uone baada tu ya kifo watakuja kidai madeni yao so msilazimishe wazazi kununua vitu vilivyo juu ya uwezo wake.