Mkuu mimi sioni Tatizo kwa sababu hakuna anaye Razimishwa kukopa, Watu wanakopa kwa hiyari yao na Serikali haiwezi Chukua hatua kwa sababu kila mtu anahiari ya kukopa au kuacha,
Ila mimi naona Tatizo liko kwa wakopaji, Unakuta mtu anakopa kwenda kununua vitu vya ajabu sana, watu wanakopa kwenda kununua Redio, Masofa, Makabati, Mafrdge na Nguoa au hata kughalamikia Harusi, Ingekuwa mtu anakopa na kuwekeza kwenye Biashara hakuna ambaye angekiuwa analalamika, MIKOPO MINGI HUISHIA KWENYE VITU VYA ANASA