joboo2 Member Mar 17, 2013 79 48 Jun 27, 2016 #1 Kuna hawa wanaitwa Wekeza Saccos wanasema wanatoa mikopo online wako Dar. Anayewafahamu plz naomba information zao. Je ni wakweli au ndo wapigaji?
Kuna hawa wanaitwa Wekeza Saccos wanasema wanatoa mikopo online wako Dar. Anayewafahamu plz naomba information zao. Je ni wakweli au ndo wapigaji?
Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,973 1,490 Jun 27, 2016 #2 WAPIGAJI HAO NDUGU, UTALIZWA SASA HIVI
Super Sub Steve JF-Expert Member Jul 9, 2011 17,391 10,885 Jun 27, 2016 #3 Mkopo online wanatoa Tigo tu napo wanaanza na buku tano Daraja linapanda kidogo kidogo
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,753 9,568 Jun 29, 2016 #5 utaliwa sana mkuu hao ni matapeli kupindukia bora uende saccos za kawaida sio za online utalia mpaka utosi
utaliwa sana mkuu hao ni matapeli kupindukia bora uende saccos za kawaida sio za online utalia mpaka utosi