mikopo ya wanafunzi elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by maoniyangu, Jul 19, 2011.

 1. m

  maoniyangu Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanafunzi wa elimu ya juu walitoa madai ya msingi ya kuongezwa kwa hela ya chakula na malazi (boom) kutoka sh5000 mpaka sh 10000. serikali imetoa sh 7500 hela hii bado haitoshi ukizingatia upandaji wa garama za maisha. je wanafunzi wa vyuo vikuu wakigoma wataonekana wakorofi?
   
 2. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Tena wagome tu nami nawaunga mkono
   
Loading...