Mikopo ya nyumba Azania bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo ya nyumba Azania bank

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Glory91, Jul 24, 2012.

 1. G

  Glory91 Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF...
  Naomba kupata maelezo kuhusu mikopo ya nyumba inayotolewa na benki ya azania,chochote unachofahamu sababu huwa naona tu matangazo kwenye mabango.
  Ahsante.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ndugu,

  Naomba ufike katika tawi la lolote Benki lililo karibu nawe
   
Loading...